![]() |
1. Kiasili mwanamke ndiye hutamani mwanaume na sio kinyume chake.
2. Kitendo cha wewe kijana kuanza kukimbizana na wanawake alafu wao hawakukimbilii hiyo ni ishara kuwa bado hujawa Mwanaume Kamili.
3. Mwanaume Kamili hakimbilii wanawake bali yeye ndiye hukimbiliwa.
4. Binadamu ni mnyama kibaolojia. Viumbe wenye jinsia ya Ke huvutiwa na kujipeleka Kwa viumbe wanaume wenye nguvu. Wanaume wenye nguvu.
5. Mwanaume kamili na halisi hawezi kubembeleza mwanamke na kujiliza liza. Huyo mwanaume hazijatimia.
6. Lazima mwanaume uwe na sifa zifuatazo zaidi ya sifa mbili Kati ya hizi
a) Lazima Uwe na Akili Sana.
b) Lazima uwe na Mali (ujue kutafuta na flow ya Mali ionekane)
c) Uwe na Mwonekano mzuri wa kiume.
d) Uwe na Nguvu za Mwili na sio legelege.
e) Uwe na Msimamo na Tabia za kiume. (alpha Male)
7. Sio mwanaume wa kujishushia heshima.
8. Mwanaume lazima uwe na standard zako mfano wewe huwezi kuoa Single Mothers wakati kuna wasichana wabichi wadogo. Hiyo standard uliyojiwekea.
Sio wale wanaume wa yeyote aje ilimradi mwanamke. Huo ni mfano. Kwa wale wanaume wa level ya juu kabisa ya Kifalme na kikuhani Standard zao zinajulikana mfano, lazima nioe mwanamke akiwa katika ubikira wake. Hizo no standard.
9. Mwanaume lazima mwanamke aone akikupoteza atajilaumu Sana sio wewe uanze kubembeleza kama lijinga.
10. Mwanamke huwaringia wanaume wasiojitambua. Kwa sababu wao ndio hugangaika na wanawake na kuwapa attention. Mwanamke anakuringiaje kama huna habari naye?
11. Wewe kama mwanaume ni jukumu lako kutafuta pesa. Kujiwekeza katika Siku zako zijazo. Sio kukimbizana na wanawake. Huko ni kutojua thamani yako.
12. Binti aliyezaliwa Leo hii yaani 2025 miaka 18 ijayo unaweza kumuoa. Kwa nini wanawake wa 2025 wakusumbue kama kweli akili yako inafanya KAZI.
13. Wekeza kwenye afya yako. Tafuta pesa. Fanya mambo yako. Wanawake unaweza kuwanunua kimafungu ukiwahitaji. Tena kwa elfu 20 20. Ukiwa na laki moja unaweza waita watano ndani ya room moja. Kwa nini wakusumbue?
14. Wanakusumbua Kwa sababu hujitambui. Hujielewi wewe ni nani. Fanya kazi, jiwekeze uone kama kuna atakayekusumbua. Sio uwe bilionea nope.uwe na pesa za kawaida tuu kama tumilioni Moja mbili hivi.
15. Mwanamke lazima akufuate wewe sio wewe umfuate. Ukiona hawakufuati kazana Jombaa. Kuna eneo unakosea.
16. Mwanamke lazima awekeze kwako. Sio wewe uwekeze kwake. Ukiona mwanamke anashindwa kukupa hata Mia yake. Kazana Sana jomba kuna eneo unakosea.
Elewa wanawake hawawekezi sehemu isiyo na manufaa. Wanawake hawaawekezi sehemu ambayo ni dhaifu.Waanawake hawawekezi sehemu wasiyoipenda.
17. Wanawake ni kioo Chako. Ambao ukitaka kujitazama basi Angalia wanawake wanakuchukuliaje. Kama wanakudharau ujue bado unatakiwa upambane.Mwanamke hawezi kukudharau ukiwa unastahili heshima never.
18. Mwanamke hawezi mdharau mwanaume Kamili.
19. Mwanamke akikutishia kwenda kwao niliwaambia mwambie aende kwa Amani na asirudi kwani nafasi yake itakuwa haipo.