UKIONA UNATAMANI WANAWAKE BADALA WANAWAKE KUKUTAMANI UJUE KUNA MAMBO UNATAKIWA UFANYE ILI UWE MWANAUME. 1. Kiasili mwanamke ndiye hutamani mwanaume na sio kinyume chake. 2. Kitendo cha wewe kijana kuanza kukimbizana na wanawake alafu wao hawakukimbilii hiyo ni ishara kuwa bado hujawa Mwanaume Kamili . 3. Mwanaume Kamili hakimbilii wanawake bali yeye ndiye hukimbiliwa. 4. Binadamu ni mnyama kibaolojia. Viumbe wenye jinsia ya Ke huvutiwa na kujipeleka Kwa viumbe wanaume wenye nguvu. Wanaume wenye nguvu. 5. Mwanaume kamili na halisi hawezi kubembeleza mwanamke na kujiliza liza. Huyo mwanaume hazijatimia. 6. Lazima mwanaume uwe na sifa zifuatazo zaidi ya sifa mbili Kati ya hizi a) Lazima Uwe na Akili Sana. b) Lazima uwe na Mali (ujue kutafuta na flow ya Mali ionekane) c) Uwe na Mwonekano mzuri wa kiume. d) Uwe na Nguvu za Mwili na sio legelege. e) Uwe na Msimamo na Tabia za kiume. ( alpha Male ) 7. Sio mwanaume wa kujishushia heshima. 8. Mwanaume lazima uwe na stand...